Compositor: Não Disponível
Eyoo Kenny
Kuhusu malaya kwangu nishazoea
Kuhusu mbaya sijali I don't care
Ananipa vyote ndoma namng'ang'ania
Nampenda sisikii kwake nshajifia
Ukinletea taarifaa za mpenzi wangu nletee na mpenzi mpyaa
Sina mda wa kuwa single sababu ya umbea waakooo
Ukinletea taarifa za mpenzii wangu nletee
Na mpenz mpya sina mda wa kuwa single sababu ya umbea wako
Me mwenzako kwanzaa napenda mapenzi cha pili kuishi single siiwezii
Aya
Sio kwamba siwezii kumuachaa tatizoo namuacha anaendaa waapii?
Sio kwamba hakuna wanaonitaakaa aah
Tatizoo kwenye moyo nshampa nafasii
Me siwezii (me siweezi) siwezii
Penzi la kugombaniaa
Mwenzako nina mmjoa mpeenzi
Ndo ambae akili anaisumbuuaa
Aya
Ukinletea taarifa za mpenzi wangu nletee na mpenz mpya
Sina mda wa kuwa single sababu ya umbea wakoo
Ukinletea taarifaa za mpenz wanguu nletee na mpenzii
Sina mda wa kuwa single sababu umbeea wakoo
Aya
Aah sio kwamba kwa ubaya ila penzi limeninogea
Na wala sikukatazii me kuniletea umbea
Ila ukija uje na umbea mpyaa
Ukileta wa zamani nitakusuta wee-wee
Aah
Kuhusu malaya kwangu nishazoea
Kuhusu mbaya sijar I don't care
Ananipa vyoote ndoma namng'ang'ania
Nampenda sisikii kwake nishaajifia
Ukinletea taarifaa za mpenz wang nletee na mpenz mpya
Sina mda wa kuwa single sababu ya umbea wakoo
Me mwenzakoo kwanzaa napenda mapenzi cha pili kuishii single siwezii
Aya